Maisha

Tazama picha za watoto wa Anne Waiguru

Anne Waiguru ni mwanamke mrembo sana. Alipewa jina la utani, “Minji Minji” kwa sababu ya urembo wake. Anne Waiguru ana jina kubwa sana katika siasa ya hapa nchini Kenya. wanasiasa wengi haswa wanaume hupenda kufanya kazi na yeye kwa sababu ya uvutio wake katika siasa.

Anne Waiguru house
Nyumba ya Anne Waiguru

Mwaka wa 2017, Anne Waiguru alichaguliwa Kama governor wa kirinyaga baada ya kumbwaga gwiji wa kisiasa eneo Hilo ambaye ni Martha karua.

Mbali na siasa, mwanamke huyu ni mama wa wavulana watatu, Ian, Don na wabu ambao aliwapata kwenye ndoa yake ya hapo awali.

Anne Waiguru wedding photo
Anne Waiguru na Bwanake katika sherehe ya harusi yao

Japo ni mwanamke anayependa Siri kwa chochote kinachohusiana na familia yake, juzi aliweka picha ya watoto wake na kuwaacha wengi vinywa wazi.

Watoto wa Anne Waiguru
Watoto wa Anne Waiguru
Waiguru na watoto wake
Waiguru na watoto wake

 

Waiguru aliolewa tena na mwana Sheria maarufu kwa jina kamotho waiganjo. Harusi yao ilikuwa ya kitamaduni iliyohudhuriwa na wanasiasa mashuhuri nchini Kenya wakiwemo rais uhuru kenyatta na Raila odinga.

Anne Waiguru, uhuru kenyatta, Raila odinga

Soma hii pia ( utajiri wa Ruto)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *