Maisha

Utajiri wa Ruto

William Ruto ambaye ni naibu wa rais ni mmoja Kati ya matajiri barani afrika. Utajiri wa Ruto hauna mfano kwani anasemekana kuwa tajiri hata kuliko wanasiasa wengi wenye cheo kikubwa kwenye serikali.

William Ruto hufanya biashara za hoteli. Kanisa nyingi zinajivunia uwepo wa William Ruto kwani ameleta maendeleo kwa Kanisa nyingi sana. Ruto huchanga sana kanisani. Kuna makanisa yalianza na mijengo mindogo ila kwa sasa Kanisa hizo zimekuwa kubwa.

William Ruto ako na hisa katika kampuni ya Africa merchant assurance company na pia Amaco. Pia inasemekana anamiliki hisa za kampuni moja maarufu ya utangazaji

Ruto pia anamiliki apartment ya Easton yenye iko Eastlands, flats zenye zipo ongata rongai, nyumba ya kifahari yenye iko eldoret na zaidi ya acres kumi katika sehemu tofauti nchini Kenya.

Ruto na uhuru kenyatta

Orodha itakayoelezea utajiri wa Ruto vizuri ni Kama ifuatavyo.

  1. Ako na magari zaidi zinazogharimu mamilioni ya pesa
  2. Ana mashamba makubwa sehemu tofauti nchini.
  3. Anamiliki helicopter ya zaidi ya bilioni moja
  4. Ana nyumba kubwa sana uasin Gishu ya 1.2 billions
  5. Ana hoteli Mara na Mombasa zinazogharimu billion tatu
  6. Western hotel ya zaidi ya billion mbili na nusu
  7. Amaco insurance
  8. Nyumba jogoo road zinazogharimu 1.5; billion

 

Kulingana na salaries remuneration commission, naibu wa rais ambaye ni William Ruto hulipwa 1.2 kila mwezi. Ripoti hii imetayarishwa na tovuti  ya Bizna Kenya 

Soma hii pia (utajiri wa Raila odinga)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *