Youtube videosMziki

Video | Susumila ft. Reckles – Kiuno

Susumila ft. Reckles – Kiuno ndio video ilioachiwa leo. Ni video iliyofanyika kwa ubora wa hali ya juu sana na kusema kweli itakuwa kubwa sana kwa mda mchache.

Msanii Gwiji kutoka mkoa wa Pwani Kenya almaarufu kama Susumila ameachia video. Hii ni moja wapo wa zile nyimbo zipo kwa Ep yake mpya kwa jina king is king.

Kwa kuitazama video ya Susumila ft. Reckles – Kiuno kwa Mara ya kwanza, bonyeza link ifuatayo

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *