Youtube videosMziki

Video | Mbosso ft Liya – Your love

Mbosso ft Liya – Your love ni video mpya kutoka kwa Gwiji wa mahaba anayejulikana ulimwengu mzima kwa sasa. Ni juzi tu Mbosso aliachia album na inafanya vizuri sana.

Kazi yake mpya na Liya ni Kazi ambayo sio wengi walikuwa wanategemea kuwa itaachiwa na Kulingana na maelezo mafupi ni kwamba hii nyimbo ni ya Mbosso na sio yake Liya kama wengi walivyodhania. Mbosso amefanya tu kumshirikisha Liya.

Kwa kuitazama Video | Mbosso ft Liya – Your love, bonyeza link ifuatayo ili uweze kupata burudani ya kipekee hapa ndani ya mwangaza news

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *