Video | Hart the band – My jaber ft. Brizy Annechild
Hatimaye Video ya my jaber ipo hewani. Ni nyimbo iliyoachiliwa miezi kadhaa iliyopita Ila Video yake ilikuwa bado.
Hart the band – My jaber ft. Brizy Annechild ni project inayoonekana kufanyiwa kwa makini sana upande wa video na pia Audio. Kusema kweli hii nyimbo itabaki vinywani mwa watu kwa mda mrefu.
Kwa Mara ya kwanza tazama Hart the band – My jaber ft. Brizy Annechild video kwa kubonyeza link iliyoko hapa chini na uendelee kufuatilia tovuti yetu ya mwangaza news kwa mengi zaidi