Afya

Vidonda vya tumbo; Dalili, Aina, chanzo na tiba

TIBA YA ASILI YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARAKA

Kwa kizungu Vidonda vya tumbo vyajulikana kama gastritis ama stomach inflammation.

Vidonda vya tumbo(Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na staili ya Maisha, Ulaji na Mazingira. Ugonjwa huu kitaalam unasababisha kuwa na michubuko katika kuta za tumbo au utumbo mdogo na hivyo kusababisha maumivu makubwa ya tumbo.

Wakati mwingine vidonda hivi huonekana kati ya tumbo na utumbo mdogo hivyo kitaalam tunaviita PEPTIC ULCERS, aina hii ya vidonda vya tumbo huwaathiri sana Wanaume kuliko wanawake.

DALILI ZA KUWA NA VIDONDA VYA TUMBO

 • Kuchoka bila sababu maalum
 • Kuumwa mgongo au kiuno
 • Kupungukiwa nguvu za kiume
 • Kizunguzungu
 • Kukosa Usingizi
 • Kichefuchefu
 • Kiungulia
 • Tumbo kujaa gesi
 • Tumbo kuwaka moto
 • Kukosa choo au kupata choo kwa shida
 • Kutapika nyongo
 • Kutapika damu au kuharisha
 • Sehemu za mwili kupata ganzi
 • Kukosa hamu ya kula
 • Kusahausahau na hasira bila sababu

Hizo ni baadhi tuu ya dalili za kuwa na vidonda vya tumbo lakini zipo nyingi, hivyo basi pindi uonapo moja kati ya hizo dalili ni vyema ukaenda kupima vidonda vya tumbo mapema.

SABABU KUU ZA KUPATA VIDONDA VYA TUMBO

(1). MSONGO WA MAWAZO(STRESS) : Hii imekuwa sababu kubwa kwa wenye vidonda vya tumbo pindi unapokuwa na msongo wa mawazo au mwili wako unapokosa uwezo mzuri wa kuratibu homoni na vimeng’enya chakula.

Hii itapelekea kuzalishwa kwa wingi Tindikali(Acid) ndani ya tumbo na hivyo kulipelekea ku

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO

Dawa mpya ya kutibu vidonda vya tumbo ipo na ya uhakika kupona kabisa na dawa hiyo ina uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo kwa kiwango cha juu na bila kuleta madhara kwa mifumo mingine ya mwili hata kama ikitumika kwa wingi. “Watu waliotumia dawa hii na kupona wanaiona kama tiba ya hali ya juu na ya kwanza kuwahi kutokea katika ulimwengu wa tiba za asili nchini Tanzania kwa kuwa wamepona kabisa vidonda vya tumbo kwa asilimia mia moja.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *