Vivian X Simple Boy – Simple simple
Vivian X Simple Boy – Simple simple ipo hewani na sio wengi walidhania wawili hawa wangeachia colabo pamoja.
Simple Boy Ni msanii tunaweza sema mungu ameibariki kazi yake kwani Kulingana na mtindo wake wa mziki, wengi walidhania hangeenda mbali.

Wawili hawa, Vivian na simple boy wameamua kufanya nyimbo ya mapenzi na kwa Sasa inapata utazamaji mkubwa ndani ya YouTube.
Vivian Ni msanii wa kike anayefanya vizuri kwenye sanaa. Jina lake linajulikana afrika mashariki kwani amefanya colabo na wasanii wa bongo.

Tazama Vivian X Simple Boy – Simple simple kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza news.
Soma hii pia ( nyimbo ya tanasha Donna na masauti – Liar)