Maisha

Utajiri wa Alikiba

Utajiri wa Alikiba 2018, 2019, 2019

Alikiba Ni mzaliwa wa Tanzania. Ni msanii anayefanya vizuri kwenye Sanaa ya mziki na wengi hupenda kumfananisha na Diamond Platnumz. Japo yeye hatoi nyimbo kwa kufuatana, mashabiki wake wanapenda sana. Nyimbo zake husemekana kuishi kwa mda mrefu.

Ifuatayo Ni ripoti inayoonyesha utajiri wa Ali Kiba kuanzia mwaka wa 2018 mpaka mwaka wa 2020. Kulingana na hii ripoti, tumeweza kuweka kiwango anachopokea Alikiba kila mwaka.

Gari ya Alikiba
Gari ya Alikiba

Kulingana na utafiti wetu, utajiri wa Alikiba Ni $26.5K. kiwango hiki hubadilika na wakati mwingine hupandwa ama hushuka.

Utajiri wa Alikiba mwaka wa 2018 ulikuwa Ni $3.6k. Kama vile mwaka wa 2020, pia mwaka huu utajiri wa Alikiba ulikuwa unapanda huku ukishuka. Kiwango Cha Utajiri wake ilikuwa Kati ya $3.6K na $7.2K

Mwaka wa 2019, utajiri wa Alikiba ulionekana kuwa juu zaidi kuliko mwaka wa 2018 na 2020. Kiwango Cha Utajiri wake kilikuwa Ni $6k. Pia Kama kawaida kiwango hiki kilikuwa chabadilika na kilikuwa kinachezea Kati ya $5.8 mpaka $11.6k

Alikiba Ana nyumba za kifahari na magari zaidi ya mawili. Hupiga show ndani na nje ya Tanzania. Msanii huyu hupendwa na watu na show zake hujaza iwe Ni ndani ya nchi ama nchi nyingine vile. Hii inamaanisha utajiri wake umechangiwa na mziki wake kwani anapokea hela ndefu kwa tamasha.

nyumba ya Alikiba
nyumba ya Alikiba

Alikiba aliwahi kusajili wasanii kwenye label yake Ila walijitoa baada ya mda mfupi huku wakidai kuwa hawakuona manufaa yoyote. Kwa Sasa wasanii hao wanafanya kazi kivyao bila usimamizi wa Alikiba. Alikiba alipohojiwa kuhusiana na Jambo Hilo aliamua kutoongelea na kuamua kunyamaza kimya.

Alikiba ameoa mke kutoka nchi ya Kenya. Mke wake ni rafiki wa karibu wa gavana wa Mombasa kwa jina maarufu Ali Hassan Joho. Kulingana na utafiti wetu, gavana Joho ndiye aliyemkutanisha Alikiba na mkewe. Kwa Sasa Alikiba na gavana wa Mombasa hawasikizani Ila chanzo Cha kukosana kwao hatujafamu Ni Nini.

Mke wa Alikiba
Harusi ya Alikiba

Sherehe za harusi yake Alikiba zilifanyika kwa siku tano. Kulingana na vyombo vya habari, harusi yake Alikiba aligharamikiwa na gavana wa Mombasa bwana Ali Hassan Joho. Sherehe yenyewe ilifanyika nchi mbili ikiwemo Kenya nyumbani na mkewe na Tanzania alipozaliwa Alikiba.

alikiba na Ali Hassan Joho harusini
alikiba na Ali Hassan Joho harusini

Alikiba pia aliwahi kukosana na mkewe Ila baada ya mda mfupi walielewana na wakarudiana. Kumbuka Alikiba Ana watoto wengine na mwanamke mwingine. Kwa Sasa ni wakubwa.

watoto wa Alikiba
Watoto wa Alikiba

 

Ni hayo tu kwa Sasa kuhusiana na utajiri wa Alikiba na mengi zaidi kumhusu. Zidi kufuatilia mwangaza news ili tuzidi kukufahamisha mengi.

Soma hii pia ( utajiri wa Rayvanny)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *