Mziki

Bahati naanza Tena | Nyimbo mpya

Bahati naanza Tena, Ni nyimbo mpya inayoonyesha bahati akiwa katika maisha ya umaskini. Kwake inakuwa Ni ndoto ambapo anafikiria kitakachotokea ifikia mda Hana hela.

naanza Tena bahati mp3 music download

Kiongozi wa hii video amefanya kazi nzuri na Kama umeitazama utakubaliana na Mimi kuwa yule bahati wa mwanzo alikuwa tofauti na bahati wa Sasa.

Kwenye hiyo video amemhushisha mkewe Diana na muigizaji Nick mutuma. Pia denno yule msanii wa nyimbo za injili Ni mmoja wa walioigiza pale. Nyimbo hii Ina trend kwa YouTube na hii inamaanisha anapata utazamaji mkubwa.

Nick mutuma na Diana

Bahati naanza Tena Ni nyimbo ya kwanza ya bahati ya injili baada ya kutangaza kuwa ameachana na nyimbo za injili.

Tazama hii pia ( Vivian X Simple Boy  )

Je, msanii huyu anatamani kurudi kwa nyimbo za injili? Kwa Mara ya kwanza tazama Bahati naanza Tena kwa kubofya link ifuatayo

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *