Wachezaji matajiri duniani
Wachezaji matajiri duniani 2020
Ni utafiti ambao hufanyika kila mwaka kudhibitisha watu matajiri duniani. Orodha hii huongezeka kila mwaka na watu wapya hujitokeza. Baadhi ya wanamichezo ni miongoni ya watu matajiri duniani. Orodha hii hutolewa na kampuni moja kwa jina Forbes.
Kulingana na utafiti uliofanywa hivi karibuni na jarida la Forbes, Lionel Messi anayechezea klabu ya Barcelona na kwa sasa ameingia kwa orodha ya watu matajiri duniani. Lionel Messi ni mzaliwa wa nchi Argentina na kwa sasa ana umri wa miaka thelathini na moja. Kati ya mwaka mmoja, bingwa huu amepokea zaidi ya shilingi bilioni kumi na tisa.

Cristiano Ronaldo anashikiria nafasi ya pili. Mchezaji huyu ni mzaliwa wa Ureno na huchezea klabu ya juventus iliopo italia. Kwa mda wa miezi kumi na mbili, Mchezaji huyu alipokea shilingi bilioni kumi na sita. Hucheza kiungo cha mbele na anajulikana kwa kufunga mabao mengi zaidi.

Neymar Jnr ambaye ni mchezaji wa (PSG) paris saint Germany ameshikilia nafasi ya tatu. Kwa mda wa mwaka mmoja, Mshabuliaji huyu hupokea zaidi ya bilioni kumi na tano nukta nane (15.8 billions). Ni mzaliwa wa Brazil.

Mwaka wa 2018, Floyd Mayweather aligonga vyombo vya habari kwa kuwa mchezaji anayelipwa hela nyingi. Kulingana na utafiti wa forbes, Mchezaji huyu alipokea shilingi bilioni arobaine na mbili kwa mda wa mwaka mmoja. Kwa sasa ameshuka na hayuko tena kwa orodha ya wachezaji matajiri duniani.

Tangu orodha ya wachezaji matajiri duniani ianzishwe, Messi ndiye msanii wa pili baada ya Rolnado. Kumbuka orodha ya wachezaji matajiri duniuani ilianzishwa mwaka wa 1990
Soma hii pia ( Wasanii matajiri Tanzania)