MaishaSanaa

Kutana na wanawake warembo kutoka ukambani wanaonyima wanaume usingizi

Je, wajua wanawake warembo wanapatikana wapi?N na je wajua wanawake kutoka ukambani Wana sifa zaidi ya moja? Ni kabila inayopewa sifa nyingi sana. Yasemekana Kama wataka kupikiwa chakula kitamu oa mtoto kutoka ukambani. Wana mengi sana wanayosifika nayo ikiwemo “michezo ya kitandani”. Pia wanawake wa ukambani wanasemekana kuwa na mapenzi ya dhati na Kama ukafikiria kuoa basi zingatia hayo.

Bety kyalo : wanawake warembo
Bety kyalo

Anajulikana Kama Betty kyalo. Ametokea ukambani na ni mwanamke anayetamaniwa na wengi. Ni mrembo kwa kweli japo wengi wanasema unahitaji uwe vizuri kifedha ili uweze kuishi naye. Kwa Sasa anafanya kazi media max ndani ya K24tv na kabla ya kujiunga na K24tv alikuwa anafanya kazi katika kituo Cha nation Media.

Kambua
Kambua

Japo ameolewa, wanaume wengi bado wanamtamani. Anasemekana kuwa na sauti nyororo yenye uvuto na pia ni mwanamke mpole sana. Amekuwa akifanya kazi citizen Tv kwa kipindi Cha kubamba chenye hupeperushwa kila jumapili asubuhi na kusema kweli anajua anachokifanya.

Saumu mbuvi sonko
Saumu Mbuvi

Ni mtoto wa Gavana wa Nairobi Mike mbuvi kwa jina maarufu Sonko. Amekuwa akigonga vyombo vya habari kwa mema na mabaya. Haya yote haijawahi mzuia kufanya anachokipenda.

Alifurahisha wazazi wake alipohitimu kwenye chuo kikuu Cha jomokenyatta mwaka wa elfu mbili kumi na sita. Ni mrembo na wanaume wengi humumezea mate.

Lilian Muli
Lilian Muli

Ni mwanamke anayejiamini sana. Amekuwa kwa media kwa miaka kadhaa. Haogopi kabisa wanaomchukia Tena ukimfuatilia Basi wewe huna bahati maana atakupasha bila uoga. Ni Kati ya watangazaji warembo nchini Kenya.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *