MchipukoSanaa

wasanii matajiri duniani

FORBES YATOA LIST YA WASANII MATAJIRI DUNIANI

Siku za hivi karibuni Jarida Maarufu Duniani la Forbes Lilimtaja Msanii Jay Z kuwa ndio Msanii mwenye utajiri mkubwa zaidi duniani. Akiwa na Utajiri wa Dollar za Marekani Zaidi ya Bilioni Moja (>1 Billion USD)

Wasanii matajiri duniani wengine waliotajwa kuwa kwenye Top 5 ya wasanii wenye utajiri mkubwa zaidi duniani ni:

1.JAY-Z>$1 billion
2.Dr. Dre>$800 million
3.Diddy>$740 million
4.Kanye West>$240 million
5.Drake>$150 million

Dr Dre

Dr Dre net worth

Dr Dre akiwa nafasi ya #2 pesa zake zinatokana na dili lake na Apple kupitia Beats By Dre na mauzo ya Headphones za Beats By Dre.

P Diddy

P Diddy wasanii matajiri duniani

P Diddy akiwa #3 na dola milioni 740 pesa zake zinatokana na Tv yake yake ya Revolt, Nguo za Sean John na mauzo makubwa ya kinywaji cha Ciroc, Forbes wanadai P Diddy ndio tishia kwa Jay Z kuchukua nafasi ya kwanza.

Kanye West

Kanye West msanii tajiri duniani

Kanye West yupo nafasi ya #4 akiwa na dola milioni $240 pesa zake zikitokea kwenye mauzo ya nguo na viatu katka mkataba wake na Adidas na Muziki wake.

Drake

Drake wasanii tajiri duniani

Drake amekuwa rapa mwenye umri mdogo zaidi kuwepo kwenye orodha hii akiwa na dola milioni $150 pesa zake zikitoka kwenye biashara yake ya nyumba za kupanga, Kinywaji cha Virginia Black whiskey na muziki wake.

Soma hii pia ( watu matajiri duniani)

Soma hii pia ( Wasanii matajiri Tanzania)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *