Mziki

Willy Paul ft Ruby – ROHO MBAYA

Willy Paul ft Ruby – ROHO MBAYA ndio nyimbo mpya ya willy Paul ambaye ni msanii kutokea Kenya akishirikiana na Ruby mzaliwa wa Tanzania.

Soma hii pia (wasanii tajiri Tanzania)

Willy Paul ft Ruby – ROHO MBAYA

Willy Paul kwa sasa ameamua kabisa kufanya mziki wa kimaisha baada ya kutoka kwa mziki wa injili. Sio Willy Paul tu kwani bahati pia ameingia kwenye kikosi hichohicho Cha Willy Paul.

Roho mbaya Willy Paul X Ruby

Willy Paul ft Ruby – ROHO MBAYA ni nyimbo inayoendelea kupata utazamaji mkubwa ndani ya YouTube. Ruby ni msanii mkali na ndani ya Tanzania na kabla akina Nandy, msanii huyu alijulikana afrika mashariki zaidi ya wasanii wengi wa kike.

Tazama Willy Paul ft Ruby – ROHO MBAYA video yao mpya hapa kwa Mara ya kwanza

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *