Maisha

Je, Zari Hassan wanataka kurudiana na Diamond Platnumz?

Ni kwa mda wa miaka miwili tangu wawili hawa waachane. Kila mmoja aliweza kutetea upande wake huku lawama zikirushwa kwa vyombo vya habari. Uhusiano wa Zari Hassan na Diamond ulionekana kama ungeenda mbali ila haikuwa majaliwa.

Zari Hassan aliamua kuondoka na watoto wake kwani aliona kuishi na Diamond kungezidisha machungu na labda angeweza kufanya uamuzi mbaya zaidi. Kwa mda wa miaka miwili sasa, Zari Hassan amekuwa akiwalea watoto wake bila usaidizi wa diamond platnumz.

diamond platinumz and tiffah dangote

Kuna wakati mmoja Diamond alijitokeza na kusema atawalipia wanatanzania mia tano kodi za nyumba. Jambo hili halikupokelewa vizuri na Zari Hassan kwani swali lake lilikuwa, Diamond ataweza aje kuwalipia wanainchi wa tanzania kodi wakati hashughulikii watoto wake?.

Diamond aliupokea ujumbe wake Zari Hassan na kuamua kuongea na Zari Hassan ili wajue vile wanaweza saidiana kuwalea watoto. Kwa sasa Diamond na Zari Hassan wanasemekana wanawasiliana kila siku. Inaonekana kwa sasa wameamua kuacha ugomvi ili waweze kuwalea watoto wao.

Tiffah Dangote

Katika Instagram account ya Diamond Platnumz, amekuwa aki post video za mtoto wake Tiffah na inaonekana kwa sasa Diamond platnumz wako na uhusiano mzuri na Tiffah Dangote. Kwenye video aliyo i post juzi, Tiffah anaonekana akiifungua zawadi kutoka kwa babake mzazi ambaye ni Diamond Platnumz

 

View this post on Instagram

 

Someone is so Happy Today ??? @Princess_Tiffah ❣❤

A post shared by SIMBA..!? (@diamondplatnumz) on

Soma hii pia ( Sikuhusika kabisa kwa Diamond kuachana na Tanasha, Zuchi asema)

 

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *