Mziki

Zuchu amekuwa msanii wa kwanza bongo kufanikiwa kwa mda mfupi

Zuchu ni msanii wa kike aliyetambulishwa na kiongozi wa wasafi diamond platnumz mwezi mmoja uliopita. Kwa mda huo mdogo, ameweza kuachia nyimbo kadhaa na kusema kweli zimepokelewa vizuri sana.

Kulingana na msanii zuchu, iliwahi kufikia hatua ya yeye kusema angeuacha mziki na kutafuta kazi nyengine. Aliongeza kusema kuwa amekaa wasafi kwa mda wa miaka Kama nne.

Soma hii pia (msanii wa Kenya anayetamba)

Kwa huo mda mfupi, zuchu ameweza kufikisha subscribers laki moja kwa mda wa mwezi mmoja na kusema kweli hii haijawahi tokea kwa msanii mwingine Yule. Kwa Sasa amepata mafans wengi na wengi wanakubali mziki wake.

Nyimbo alizoziachia zuchu ni Kama vile

  1. Zuchu – hakuna kulala
  2. Zuchu – kwaru
  3. Mauzauza – zuchu ft. Khadija kopa
  4. Ashua – zuchu ft Mbosso
  5. Zuchu – Raha
  6. Zuchu – Nisamehe
  7. Wana – zuchu

Na zinginezo.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *