Zuchu – Sukari mp3 | Video
Zuchu – Sukari ndio habari ya mjini. Ni nyimbo mpya kutoka kwa msanii wa wasafi label ambaye anakuja kwa Kasi sana.
Kulingana na utafiti wetu, zuchu kea sasa amewapita wenzake walioko wasafi kama vile Rayvann na Lavalava ki hela na pia jina.
Kwa Mara ya kwanza isikize nyimbo ya Zuchu – Sukari kwa kubonyeza hapa chini
Tazama hii pia ( harmonize – Anajikosha)
1,008 total views, 1 views today