Harmonize – Anajikosha ( Video | Mp3)
- Harmonize – Anajikosha ( Video | Mp3)
- Video ya Anajikosha imefanyiwa sehemu moja baharini
- Harmonize na wenzako wameamua kuvaa mavazi nyeupe kwenye video yake mpya
- Anajikosha Video yake harmonize inapata utazamaji mkubwa ndani ya youtube channel yake harmonize.
Ni Kazi mpya ilioachiwa na msanii mkali anayemfanya Diamond kutolala usiku kutwa. Harmonize anazidi kuonyesha bidii yake na kusema kweli msanii huyu sio wa kushuka leo ama kesho. Tazama Harmonize – Anajikosha ( Video | Mp3) hapa mwangaza kwa Mara ya kwanza hapa chini
Tazama hii pia ( stamina ft professor-jay one six baba
9,276 total views, 1 views today