Sanaa

Video mpya ya Ibraah – wandoto

Konde gang wanazidi kuachia vitu vipya. Ibraah – wandoto ndio nyimbo mpya na ishaanza kupata utazamaji mkubwa ndani ya YouTube.

Kama umekuwa ukifuatilia, Ibraah ni msanii ambaye ako chini ya usimamizi wa konde gang inayosimamiwa na Harmonize. Label hii ilianza mda mfupi baada ya harmonize kujiondoa wasafi inayomilikiwa na diamond platnumz

Itazame video mpya ya Ibraah – wandoto  iliooachiwa leo tarehe mbili mwezi wa saba 2020

Soma hii pia ( utajiri wa harmonize)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *