Sanaa

Kate Kamau the actress aeleza maisha yake ya hapo awali

Muigizaji Kate Kamau ameweka wazi maisha yake ya hapo awali kabla ya kuwa hapo alipo kwa sasa. Kulingana na yeye, aliwahi kulala bila chakula na kama sio uvumilivu na bidii yake, basi hangekuwa penye alipo.

Kabla kuingia kwa matatu, Kate Kamau alikuwa anahakikisha wameelewana kabisa Bei na kodakta maana hakuwa na uwezo wa kulipa nauli ya juu. Wakataki mwingine aliomba kusimama kwa matatu badala ya kukaa ndio nauli iweze kupungua.

kate kamau and her husband Philip Karanja during their wedding

Kwenye post yake ndani ya Instagram, Kate Kamau hakuwa peke yake. Jacqy Tina alikuwa mwenzake wa karibu na wawili hawa walipitia mengi pamoja. Kulingana na Kate Kamau ambaye ana watoto wawili kwa sasa, yeye na jacqy Tina walikuwa wanaishi kwa nyumba ya room moja kwa jina maarufu Bedsitter’ sehemu inayojulikana Kama Maringo.

jacqy Tina mother in law
jacqy Tina mother in law

Kabla ya kutumia pesa kwa nyumba, wawili hao walihakikisha wameipangia vizuri maana wangekosea kidogo wangebakia bila chakula na mahitaji mengine mhimu yangekosekana.

Wakati huohuo, wawili hawa walikuwa washaanza kuigiza kwa runinga na wengi walidhania wako na pesa nyingi ila haikuwa hivo. Wengi walikuwa wanawashangaa kwa matatu kwani wawili hao walikuwa waliamua kusimama ndio waweze kulipa nauli kidogo japo majina yao makubwa.

Kate Kamau biography

Kate Kamau amewaomba wasanii wenzake waweze kujipanga kimaisha. Wasije wakajakifanya kuishi maisha ya hali ya juu alafu baadae waishi maisha ya umaskini.

Hii ni baada ya zeddy comedian  kwenye mitandao kuhusiana na Victor Ber ambaye ni kiongozi wa Churchill show kuhusika na wasanii wa Churchill kupoteza mwelekeo wa maisha. Kwa wale hawajui, Victor Ber ni mmewe teacher wanjiku.

Sleepy David, mwenzake zeddy comedian alimtetea victor Ber na kumtaka zeddy afanye uchunguzi kabla ya kuharibia victor Ber jina.

Soma hii pia (Mfahamu azziad Nasenya zaidi)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *