Video mpya ya Ibraah – wandoto
Konde gang wanazidi kuachia vitu vipya. Ibraah – wandoto ndio nyimbo mpya na ishaanza kupata utazamaji mkubwa ndani ya YouTube.
Kama umekuwa ukifuatilia, Ibraah ni msanii ambaye ako chini ya usimamizi wa konde gang inayosimamiwa na Harmonize. Label hii ilianza mda mfupi baada ya harmonize kujiondoa wasafi inayomilikiwa na diamond platnumz
Itazame video mpya ya Ibraah – wandoto iliooachiwa leo tarehe mbili mwezi wa saba 2020
Soma hii pia ( utajiri wa harmonize)
1,039 total views, 1 views today