MzikiYoutube videos

Anjella ft Harmonize – Kama (Official Music Video)

Anjella ft Harmonize – Kama (Official Music Video) imeachika leo. Anjella ni msanii mpya ndani ya konde Gang na hii ni video yake ya pili akiwa label ya konde Gang.

harmonize angela mp3

Anjella ni msanii mwenye sauti nzuri sana na apo ligi ya juu labda akifanyiwa marketing nzuri huenda hata akawapita akina Nandy na zuchu.

Video ya Kama yake anjella na harmonize imefanywa kwa ubora wa juu sana na ukitazama vizuri, video hii imegharamikiwa vilivyo.

harmonize anjela

Ni hivi majuzi tu label ya konde Gang iliachia video ya Ibraah kwa jina mapenzi na ikaweza kuingia kwa trending ndani ya youtube. Wacha tuone hii ya Anjella ft Harmonize – Kama (Official Music Video) kama itaweza kuingia pia kwenye trending.

kama angella ft harmonize

Kwa Sasa wasanii wa kike wenye talanta wanazidi kuongezeka nchini tanzania na itabidi kila msanii wa kike aweze kufanya bidii sana kwani ushindani ni mkubwa zaidi.

anjella harmonize download

Kwa Mara ya kwanza tazama video yao Anjella ft Harmonize – Kama hapa mwangaza na Asanteni kwa kuchagua mwangaza news.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *