MaishaSanaa

Rayvanny na Harmonize wanzisha vita huku baba levo na ibraah wakiachia diss track

Baada ya harmonize kuachana na mpenzi wake kajala, mengi yametokea. Ni juzi tu Rayvanny aliandika mengi kuhusu harmonize kwa kile alichokisema kufanya mapenzi na kajala na pia mwanawe Paula.

Kajala masanja na paula

Baada ya harmonize kuachana na kajala, chat zilivunja baina ya harmonize na kajala. Inasemekana wawili hawa walikuwa na uhusiano wa kimapenzi. Kumbuka wakati huohuo harmonize alikuwa na kajala ambaye ni mamake Paula.

Hapo nyuma, rayvanny alipatikana na sakata na Paula. Wakati huo pia harmonize aliandika masikitiko yake pia kwenye mitandao huku akitaka rayvanny ahukumiwe kwa kufanya mapenzi na mtoto wa shule.

Ibraah juzi aliingia studio kumtetea boss wake ambaye ni harmonize na kumwambia rayvanny aachane na boss wake kabisa kwani ana ruhusiwa kumpenda mwanamke yeyote.

Kwa upande wa pili, Baba levo naye hakuachwa nyuma kwani naye aliamua kuachia nyimbo kwa jina hamo mavi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *