Mchipuko

Jinsi ya kulipia wasafi Tv

Jinsi ya kulipia wasafi Tv;  Kwa Sh 1000 Tuu kwenye King’amuzi chako cha Azam Unaburudika Mwezi mzima #Uliyemngojakaja .

Kulipia na Kufungua Chaneli ya Wasafi TV ndani ya Azam decoder.* Hakikisha una kifurushi chochote cha Azam TV kwanza, kisha fanya Malipo ya 1,000 kwa njia za kawaida kupitia mitandao ya simu. Kama tayari endelea hivi;

1. Piga *150*50*5# baada ya malipo kukamilika.
2. Chagua lugha
3. Chagua namba 3. Sajili Huduma Mpya
4. Ingiza namba yako ya kadi Chagua namba 5. Wasafi TV Add On
5. Utapata ujumbe wa SMS kuthibitisha usajili.

Soma hii pia ( jinsi ya kulipia king”amuzi Cha startimes)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *