Mchipuko

AUNTY EZEKIEL KUJIFUNGUA LIVE.

Aunty Ezekiel amesema safari hii atajifungua live mashabiki wakimshuhudia. Akizungumza na Risasi amesema

“Nimewaonyesha watu kuwa sio kila ujauzito ni wa kuhuzunika nataka wanawake wote wafurahie wanapokuwa katika hali hii(ujauzito), Kipindi hiki wataona ‘live’ kuanzia naingia leba mpaka najifungua, na wataona siku hiyohiyo nitabahatika kupata mtoto gani,” staa huyo ameliambia Risasi kisha kuongeza

“Siku hiyo mpaka baba wa mtoto wangu ataonekana live, hakuna kitu ambacho kitafichika kwenye ujauzito huu, na ndiyo maana mpaka sasa naliachia tumbo langu wazi. Mimba ya Cookie naamini hakuna aliyeliona tumbo langu likiwa wazi hata kidogo, lakini kipindi hiki nimelionyesha live, sijalificha na nitaonekana live wakati wa kujifungua,”

Soma hii pia ( sina ugomvi na Nandy zuchu asema )

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *