InternationalMchipuko

Deliverance Church Donholm yaomboleza baada ya pastor Matthew Wambua kuaga dunia

Washiriki wa the Deliverance Church Donholm, Nairobi Kenya wamekuwa wenye huzuni kufuatia kifo Cha ghafla Cha pastor Matthew Wambua waliompenda sana

Kulingana na Tuko.co.ke, Pastor Matthew alifariki jumapili March 21 usiku baada ya kuugua Covid-19. Wambua alifariki mda mfupi baada ya kulazwa Hospitali ya Nairobi. Pastor Matthew Wambua amefariki akiwa na umri wa miaka 55.

Pastor Matthew Wambua amewacha wengi na huzuni wakiwemo familia, marafiki na washariki wa kanisa ya deliverance church Donholm kwani kwao alikuwa mtu mhimu sana.

Wengi hawakuamini kuwa pastor Matthew Wambua ameaga kirahisi hivo na wengi walitoa hisia zao kupitia mitandao huku wakimsifia maisha yake na alivyopenda watu.

Sio washiriki wake tu ila pia watu wenye majina kubwa kama vile muimbaji wa nyimbo za injili Evelyn Wanjiru. Evelyn alimsifia Wambua kwa huduma alitoa siku ya kuamkia mwaka mpya.

Siku hiyo ya kuamkia mwaka mpya pastor Matthew Wambua alitoa huduma Live kwa mtandao iliyowabariki wengi akiwemo evelyn Wanjiru. Wengine waliotoa rambirambi zao ni pamoja na Pastor T Mwangi mwanzilishi wa visionary of truth mentorship.

Soma hii pia ( chanzo Cha kifo Cha magufuli)

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *