InternationalMaisha

Historia ya Samia Suluhu Hassan

Historia ya Samia Suluhu Hassan

Samia suluhu Hassan alizaliwa January 27, mwaka wa 1960 Zanzibar.
Zanzibar ni eneo lililoko afrika mashariki nchini Tanzania.

Babake samia suluhu Hassan alikuwa mwalimu lakini mamake alikuwa mama wa nyumbani kwa kimombo, house wife.

Samia suluhu Hassan alimaliza shule ya upili ila kwa kutamka yeye mwenyewe, hakupata matokeo mazuri. Akiwa na umri wa miaka kumi na saba alipata Kazi ya ukarani katika ofisi ya serikali.

Kufikia mwaka wa 1988, samia Suluhu alikuwa ashaongeza masomo zaidi. Hii ilimfanya kuongezwa cheo na kuwa ofisa wa maendeleo ndani ya serikali ya Zanzibar.

Samia Suluhu Hassan ambaye kea sasa ni mama wa watoto wanne. Huwa anapenda sana kuwapa wanawake moyo kuhusiana na masomo na anapenda sana waweke masomo kwa mstari wa kwanza.

Mwaka wa 2000 alipewa cheo katika chama Cha CCM. Baadae alifanya Kazi kama waziri katika serikali ya Zanzibar. Alifanya katika wizara kadhaa zikiwemo wizara ya vijana, wanawake na watoto alafu baadae akafanya wizara ya watalii

Mwaka wa 2010 alichaguliwa katika bunge ya kimataifa naye aliyekuwa rais jakaya kikwete akamchagua kama waziri wa state for Union affairs.

Anazo shahada katika vyuo vikuu katika nchi tofauti zikiwemo tanzania, britain na united states.

Samia suluhu Hassan ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 61, ni mwanamke mpole. Alikuwa makamo wa rais hayati John Pombe Magufuli ambaye hadi kifo chake amekuwa rais wa jamahuri ya muungano wa Tanzania. Kutokana na kifo Cha magufuli, samia Suluhu aliapishwa kama rais wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza wa kike afrika mashariki.

Mume wa Samia Sulubu

Samia Suluhu husband
Mume wa Samia Suluhu Hassan

Samia Suluhu Hassan ameolewa na Hafidh Ameir. Hafidh amekuwa afisa wa kilimo tangu 1978 ila kwa Sasa amestaafu. Mtoto wao wapili anayejulikana kama Wangu Hafidh Ameir aliyezaliwa 1982 ana cheo ndani ya Zanzibar house of representatives.

Utajiri wa Samia Suluhu

Hadi huu mwaka wa 2021, Samia Suluhu anasemekana kuwa na utajiri wa $15. Hii ni pamoja na vitu vyake kama nyumba, pesa kwao benki na mshahara anaoupokea. Pesa zake zinatokana na cheo chake katika siasa na biashara tofauti.

Mazishi ya magufuli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *