InternationalYoutube videos

Harmonize x Awilo Longomba x H. Baba – Attitude

Huku diamond na Nandy wakiamua kufanya Kazi na koffi olomide, harmonize amechukua mkondo tofauti. Harmonize ameamua kufanya Kazi Awilo Longomba. Awilo Longomba ni msanii wa lingala kama koffi olomide ila kidogo aliingia mitini.

Tunaweza sema Harmonize amemfufua Awilo Longomba kwani alikuwa amenyamaza kwa mda. Nyimbo yao mpya attitude imepokelewa vizuri na hivi sasa Ina trend ndani ya youtube.

Harmonize x Awilo Longomba x H. Baba – Attitude imeachiwa Mda mdogo baada ya skedo ya harmonize na mtoto wa kajala almaarufu Paula. Harmonize alisemekana kutembea na kajala na Paul kwa wakati mmoja.

Kwa Mara ya kwanza tazama video ya Harmonize x Awilo Longomba x H. Baba – Attitude

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *