InternationalMaisha

Rais wa Chad Idriss deby aaga dunia

Rais wa nchi ya Chad kwa jina maarufu Idriss deby ameaga dunia. Kulingana na ripoti iliyotolewa ni kwamba rais Idriss deby alipata majeraha wakati akiwa kwa mstari wa mbele na wanajeshi wake kupigana na maadui.

Rais wa Chad Idriss deby aaga dunia

Idriss deby amekuwa rais kwa miaka mingi na Anajulikana kama rais aliyeongoza miaka mingi zaidi barani afrika. Kumbuka Idriss deby alichaguliwa tena April 11 kuongoza nchi ya Chad kwa miaka mitano ila haitakuwa tena baada ya kupata 80% ya kura zilizopigwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *