MzikiSanaaYoutube videos

K.O ft. Femi one – Chora ( official video)

K.O ft. Femi one – Chora ni mojawapo wa zile nyimbo mpya zilioachika nchini Kenya. Msanii kwa jina K.O alizaliwa na kulelewa mjini Mombasa na habari zaidi ni kwamba msanii huyu bado yupo shule ya upili. K.O ni msanii ambaye ako na kipaji Cha Hali ya juu na sapoti anayoipokea kwa wakenya wenzake ni kubwa mno.

Msanii huyu ameachia nyimbo kadhaa zikiwemo colabo na wasanii tajika mjini Mombasa kama vile kalamoto. Kolabo yake yenye kwa Sasa imezua gumzo ni hii ya nyimbo mpya aliyoshirikisha Femi one. Femi one ni msanii hatari nchini kenya na kama umekuwa ukifuatilia msanii huyu basi utakuwa unafahamu nyimbo yake iliyotetemesha afrika mashariki kwa jina “utawezana”. Hii ilikuwa ni kolabo na mejja ambaye pia hatari.

K.O ni msanii mmoja Kati ya wasanii kadhaa wanaopata usaidizi kutoka kwa gavana wa county ya Mombasa Bwana Hassan Joho. Wengine walioko kwenye usimamizi wa msanii huyu ni pamoja na Gates Mgenge na Chris. Kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza, pata kuitazama  video mpya yake K.O ft. Femi one – Chora

Soma hii pia ( wasanii tajiri Afrika)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *