Otile Brown X Kizz Daniel – Baby Go
Otile Brown X Kizz Daniel – Baby Go ndio habari ya mjini. Ni nyimbo iliyokuwa inangojewa kwa hamu na hatimaye imeachiliwa. Otile Brown ni msanii maarufu inchini kenya.
Anazo nyimbo kadhaa zinazojulikana ulimwengu mzima ikiwepo kolabo yake na meddy kwa jina dusuma. Pia anayo nyimbo na alikiba kwa jina ” inlove.
Kizz Daniel naye ni msanii kutoka nchi ya nigeria. Anazo nyimbo nyingi zinazojulikana ulimwengu mzima
Colabo mpya ya Otile Brown X Kizz Daniel – Baby Go itakuwa ya manufaa kwake otile Brown kwani ataweza kuwapata mashabiki wa Kizz Daniel. Kwa Mara ya kwanza, tazama Otile Brown X Kizz Daniel – Baby Go
11,343 total views, 1 views today