AfyaMaisha

Je, kuna hatari ama madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa mda mrefu?

Je, kuna hatari ama madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa mda mrefu?

Ni Jambo lenye wengi hawawahi lifikiria kwa undani ila ningependa kuwajibu swali la Je, kuna hatari ama madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa mda mrefu?. Kama wewe ni mtu wa kukaa mdaa mrefu bila kufanya mapenzi ama tendo la ndoa basi madhara yake ni Kama haya

Unakuwa na hasira nyingi na mambo madogo na ukiudhiwa kidogo unataka kupigana ama kutukana. Wengi wa watu kama Hawa hushikwa na magonjwa ya pressure kwa hasira zao

Kupendelea sana kutazama picha za ngono.

Hii huletwa na matamanio na unajikuta unatazama ngono kwenye mitandao. Hii ni hatari zaidi maana wengi wanaotazama video za ngono huchukua sheria mikononi na Mara nyingi wanapiga punyeto. Wengi huzoea tabia hii na huenda ikawadhuru baadae sanasana watakapopata wapenzi.

Madhara mengine ni Kama yafuatayo

Kusahausahau, Kupendelea story za mapenzi, Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke), Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu), Kuumwa na kichwa, Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Kupoteza umakini katika kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala

Soma hii pia ( jinsi ya kupata mimba kirahisi)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *