Maisha

Mafundisho ya mtume Muhammad S.A.W

Haya ndio Mafundisho ya mtume Muhammad S.A.W

1. Epuka kulala Baina ya Alfajir na Mawio,Alaasir na Magharib, Magharibi na Ishaa.

2. Usidatishe Vidole kabla ya swala na baada ya swala.

3. Kagua Viatu Kabla ya Kuvivaa.

4. Usiangalie Angani wakati Unaswali.

5. Usiteme Mate Katika Tundu la Choo.

6. Usisafishe Meno kwa Mkaa.

7. Kaa Wakati Unavaa Suruali.

8. Usipulize Chakula Kimoto kwa mdomo.

9. Usikinuse Chakula Wakati Unakila.

10. Usiongee Chooni.

11. Usikanyage Ardhi Kwa Kishindo Wakati Unatembea.

12. Usimfukuze Aombaye.

13. Msamehe Aliyekukosea Nawe Allah Atakusamehe.

“WAPE NA WENGINE ELIMU HII ALLAH ATAKULIPA”

Ipo cku utaitwa kwa Jina-1

kati ya haya:-

MAITI au MAREHEMU; Akupendae ndie ataehimiza JENEZA lako MAKABURINI.

Huku akiuliza Ubao uko wapi?

Lete Dongo,

Lete Majani,

Huku akickitika kwa kusema kazi ya MUNGU haina makosa.

Je? umejiandaa vp na cku ambayo Wa2 watauliza saa ngapi Anazikwa?

Wapi Anasaliwa?

Je yupo anaemdai Marehemu?

Je yupo anaedaiwa na Marehemu?

Ujumbe:-

Mche Mola wako,

Hakuna ufahari wa salamu kama hufanyi IBADA. Kumbuka. MAUTI yana Maumivu makali pindi Mwanaadamu Anapotolewa Roho na Malakul Mauti.

Kwa mantiki hiyo yatosha kuwa MAUTI ni Mawaidha kwako.

Fadhakir. NIMEKUMBUSHA.

Nawe KUMBUSHA.

Inatakiwa itumwe kwa watu 500,000,000 Wamtaje Mtume wetu Rasool Allah

Soma hii dua na uwatumie watu 5

(ALLAHUMMA SALLI ALA MUHAMMADI WA ALA AALI MUHAMMADIN KAMAA SALLAITA ALA IBRAHIMA WA ALA AALI IBRAHIMA INNAKA HAMIDUM MAJID. ALLAHUMMA BAARIK ALA MUHAMMADIW WA ALA AALI MUHAMMADIN KAMAA BAARAKTA ALA IBRAHIMA WA ALA AALI IBRAHIMA INNAKA HAMIDUM MAJID. )

 

Hii msg haitakiwi kusimama kwako. Ni ombi; usiifute kabla ya kuisoma na kuwatumia wengine.

 

YA~ ALLAH

YA~RAHMAN

YA~RAHIM

YA~MALIK

YA~KUDUS

YA~AZIZ

YA~ALIM

YA~JABBAR

YA~GANNIYU

YA~LATIF

YA~KHABIR

YA~AWAL

YA~AKHIR

YA~BASIRU

YA~SABUR

YA~SAMAD

YA~MUJIBU

YA~WAJIBU

YA~RAUF

YA~QADIR

YA~WAHID

YA~HALIM

YA~HAYU

YA~KAYUM

YA~SALAM

YA~JABAR

YA~MUTAKABIR

YA~KHALIK

YA~BARIK

YA~RAZAK.

Tuma hayo majina ya ALLAH kwa marafiki zako Waislam na IN~SHA~ALLAH dakika ndogo watu wengi watakuwa wametaja Majina mazuri ya ALLAH

► Faida za Ayatul Kursiyyu:

►1. Itaje mara unapotoka kwako, na Malaika 70,000

Watakulinda pande zote.

►2. Itaje uingiapo kwako, Ufakiri hautoingia katika nyumba yako.

►3. Itaje baada ya udhu, Na Allah akunyanyue daraja 70.

►4. Taja kabla ya kulala, na Malaika 1 atakulinda usiku kucha

►5. Itaje baada ya Sala za Faradhi, na kitu pekee kitachokutenganisha wewe na Pepo ni Mauti.

► Na ukifikisha haya ni Sadaka ya kudumu.

 

► Tafadhali Usisahau ku Share, Upande wangu nimefikisha, wewe je.

► Tafadhali kama haupo tayari irudishe kwangu.

 

►Astaghfirullah!

►Astaghfirullah!

►Astaghfirullah! 3x

►Hasbunallahu wa ni’imal wakeel.

►Hasbunallahu wa ni’imal wakeel.

►Hasbunallahu wa ni’imal wakeel.

►Hasbunallahu wa ni’imal wakeel.

►Hasbunallahu wa ni’imal wakeel.

►Hasbunallahu wa ni’imal wakeel.

►Hasbunallahu wa ni’imal wakeel. 7x

Soma hii pia ( utaratibu wa mazishi ya kiisilamu)

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *