Maisha

Mafunzo ya dunia

Mafunzo ya dunia

Idadi ya wengi sana waliotoweka duniani, walikuwa muhimu sana kwenye maisha yako zaidi ya maisha yao. Kwanini wale walio baki ni wachache na huenda wewe unawajali sana kulio wao wanavyokujali wewe? Damka!

Watu wameshabadili mfumo wa kuishi na wala maisha kamwe hayajabadilika. Wamepiga mahesabu we, wakaujua umuhimu wa maisha yao kuliko ya kwako ambayo ni kama kubeti kati ya umri wao na manufaa. Ili kwenda sawa na mda, ile tahadhari ya kukumbuka kuna kukosa kabisa.

Watu wamejifunza mengi aidha kwa yaliowakuta, maisha wale waliowaona na kuwasikia katika maisha ya kufilisika. Hali hii iliwafanya wakagundua kuwa maisha yako hayatawafaa sana kama kukaa na kujinufaisha yakawafaa wao wenyewe.

Heri kufilisika mali kuliko umri na muda ambao ungejinufaisha mwenyewe mengi. Usiishi kama (Power bank) siku zote inajiona imejaa na kuwasambazia wengine chaji ila ikiisha anakumbuka mmoja tu kujaza na sio wale aliowahudumia au huenda isahauliwe kabisa watu waje kukumbuka umeme ukishakatika. Hiyo ni (power bank) ila binadamu ukiisha umeisha.

Soma hii pia ( mbinu za kufaulu maishani)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *