InternationalMaisha

Magari ya bei rahisi

Kwa maisha ya siku hizi, gari imekuwa sio starehe tena Ila ni hitaji la kila siku. Ukiwa na gari la kibinafsi huwa usafiri wako unakuwa rahisi kwani unaweza kusafiri popote mda wowote ule.

Siku hizi foleni za magari zimezidi na kama watumia magari za Uma kwa usafiri wako basi huenda ukapitia wakati mgumu sana kwani wengi wanategemea hayohayo magari ya Uma. Walio na magari ya kibinafsi Wana bahati sana kwani kwa mda wowote ule unaweza safiri bila vikwazo.

Kuna aina nyingi za magari, Kuna magari ya bei rahisi na pia kunazo zinahitaji hela ndefu. Hii Ina maana kwamba kila mtu ana uwezo wa kununua gari Kulingana na mapato yake.

Sababu zinazoleta utofauti wa Bei za magari.

Kila gari Ina Bei yake na kunazo sababu zinazochangia utofauti wa Bei. Sababu hizo ni kama;

 1. Aina ya gari
 2. Nchi
 3. Ukubwa wa engine ya gari
 4. Ushuru wa nchi

Kwa sasa nataka niweze kukupatia orodha ya magari ya bei rahisi yenye karibu kila mtu anaweza nunua hata kama kipato chake ni kidogo. Kumbuka magari yenye Bei ya chini, gharama za mafuta Nazo zitakuwa chini. Ushauri wangu ni, kama huna mapato mazuri basi usilazimishe kununua gari yenye itakutia gharama zenye hauziwezi.

Orodha ya magari ya bei nafuu

Suzuki Alto

Suzuki Alto price

 • Engine yake iko maeneo ya mbele
 • Inatumia Lita 20 – 37 ya mafuta aina ya petrol kwa kila kilomita moja
 • Nguvu yake ni 40-64 ps
 • Bei yake kama una import kutoka Japan itakuwa kama $ 4,445

 Nissan March – $ 2,230 – 3,339

Nissan March Price

 • Iko na viti vitano
 • Ni 2 wheel drive
 •  Inatumia gear ya automatic
 •  Engine capacity yake ni 1,190cc
 •  Uzito wake ni 940 – 1250kg

Mazda Demio –  $ 3,067  – 4,176

Mazda Demio price

 •  Inatumia automatic gear
 •  Ni 2 wheel drive
 • Engine capacity 1,290cc
 •  Uzito wake ni  1,020 -. 1295 kgs

 Suzuki Swift – $ 3,578 – 4687

Suzuki Swift price

 •  Engine capacity 1,240cc
 • Inatumia automatic gear
 • Ni 2 wheel drive
 • Ina viti tano
 • Uzito wake ni 1,000 – 1,275
 • Model number DBA-ZC72S

Ukitaka kupata magari haya kwa Bei nafuu waweza tembelea tovuti mbali mbali kama vile japanese vehicle

Soma hii pia : Orodha ya Wasanii tajiri tanzania

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *