Masauti Burudani | Official video
Masauti Burudani | Official video ni kazi iliyoachiwa siku ya leo. Ni juzi tu msanii huyu aliachia kazi yake na tanasha ambayo kwenye youtube imefikisha watazamaji zaidi ya milioni
( Video mpya ya tanasha na masauti)
Masauti ni mzaliwa wa pwani japo kazi zake nyingi hufanyia Nairobi. Video yake mpya burudani tayari ipo kwa YouTube na views zimeanza kupanda kwa Kasi sana.
Kuitazama Masauti Burudani | Official video bonyeza link ifuatayo