Youtube videos

Mejja – Karibu Kenya ( Kanairo)

Mejja – Karibu Kenya ( Kanairo) ni nyimbo mpya kabisa iliyoachiwa na msanii hatari nchini kenya kwa jina mejja. Msanii huyu Anajulikana kama king of colabo maana ukifanya naye Kazi jua tu hiyo Kazi yako itaenda mbali.

Mejja aliwahi kufanya kolabo na femi one na ikawa gumzo afrika mashariki. Utawezana ilimfungulia njia Femi One na kwa sasa video zake nyingi zina trend ndani ya youtube.

Karibu Kenya ni nyimbo yake ya pili aliyoachilia hivi karibuni baada ya nyimbo yake ya siskii ( kamote) kufanya vizuri. Karibu Kenya tayari ishaanza kugonga vichwa vya habari. Kwenye hii nyimbo mejja anaelezea tabia za wakenya zenye hazina watu wa nchi zingine.

Kwa Mara ya kwanza tazama nyimbo ya Mejja – Karibu Kenya ( Kanairo) hapa mwangaza news

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *