SanaaMziki

Mejja – Siskii ( kamote) official video

Mejja – Siskii ( kamote) official video ipo hewani. Kwa mda mrefu, msanii huyu amekuwa akiachia kolabo na wasanii tofauti. Siskii yake mejja itakuwa project yake ya kwanza baada ya miaka bila kuachia nyimbo yake binafsi.

Mejja ni msanii anayesemaka kuwa bingwa wa kolabo. Ulifanya naye kolabo basi kuna uwezekano mkubwa sana nyimbo yako ikawa kubwa sana na kupata views nyingi ndani ya youtube.

Kama utakuwa mpenzi wa mziki basi utakuwa unakumbuka nyimbo ya utawezana aliyefanya na femi one. Nyimbo hiyo ilipenya sana na kumfungulia njia femmi one.

Kwa Mara ya kwanza tazama video ya Mejja – Siskii ( kamote) hapa mwangaza

Soma hii pia ( je, Nadia Mukami ana mpenzi?)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *