MzikiSanaaYoutube videos

Happy C- Index 001 ft Bensoul and Nviiri The Storyteller (Official Music video)

Happy C- Index 001 ft Bensoul and Nviiri The Storyteller ni nyimbo iliyokuwa inangojewa kwa hamu sana. Kwa wale hamfahamu happy C, ni msanii aliyekuwa katika kundi la wawindaji Ila kwa sasa anafanya Kazi kivyake.

Nyimbo za happy c zingine ni kama

Happy C ni mmoja wa wasanii wanaopata usaidizi kutoka kwa gavana wa county ya Mombasa Bwana Ali Hassan Joho. Msanii huyu anapendwa zaidi sanasana mkoani pwani kwani sauti yake yafananishwa na msanii wa bongo anayejulikana kama alikiba.

Happy c sema

Kumbuka gavana Joho alikuwa mtu wa karibu sana na Alikiba na huenda sauti ya happy C humkumbusha urafiki wake wa dhati na msanii Alikiba aliyemsaidia sana katika Sanaa. Pia gavana Joho anawasaidia wasanii wengine kama vile K.O na msanii mkongwe almaarufu kama Susumila.

Happy C- Index 001 ft Bensoul and Nviiri The Storyteller mp3 download

Nyimbo mpya ya Happy C- Index 001 ft Bensoul and Nviiri The Storyteller huenda ikamfungulia happy C njia zaidi kwani Bensoul na Nviiri ni wasanii tajika nchini kenya na wanapendwa sana haswa mjini Nairobi.

Nakupa nafasi hii uweze kuitazama nyimbo yake Happy C- Index 001 ft Bensoul and Nviiri The Storyteller kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza news.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *