International

Mke wa babu tale, meneja wa diamond afariki dunia

Kama umekuwa ukifuatilia sanaa ya Tanzania basi utakuwa unamfahamu vizuri mke wa babu tale.

Imekuwa siku ya huzuni nchini Tanzania. Nchi hiyo imepokea habari mbaya kuhusu kifo Cha mke wa boss tale Bi. Shanny tale, meneja wa diamond na WCB kwa jumla.

Babu tale wife

Kulijana na ripoti tulizozipokea, bado haijajulikana chanzo Cha kifo Cha bibiye Babu tale Bi. Shammy take.

 

Tunaomba mwenyezi mungu sike roho yake mahali pema peponi huku tukiwapa pole familia ya Babu tale na wasafi (wcb). Tutakutana baadae.

Soma hii pia (kiwango alichotakiwa mavoko kulipa wasafi WCB)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *