Youtube videosMziki

Spice Diana Ft Zuchu – Upendo

Zuchu ameamua kucheza anga za mbali na kolabo yake na spice Diana imeshika moto kama pasi. Zuchu akiachia nyimbo huwa inashika Kasi na kwa sasa imekuwa kaiwada yake kuachia hit songs.

Unaweza itazama Yuda – Nandy

Spice Diana Ft Zuchu – Upendo ni nyimbo iliyofanywa kwa makini sana na utayarishi wa nyimbo hii ni wa hali ya juu na itakuwa nyimbo kubwa sana afrika mashariki na dunia nzima kwa jumla.

Kwa kuisikiza nyimbo ya Spice Diana Ft Zuchu – Upendo, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *