Sanaa

Vipindi vinavyopeperushwa maisha magic plus

Tarehe 23 mwezi wa tatu mwaka wa 2020, kampuni ya multi choice Kenya ilitangaza kufunguliwa kwa maisha magic plus. Hii ilifungulia wengi nafasi za kazi na pia kuongeza burudani kwa watazamaji wa vipindi na tamthilia mbali mbali.

Kulingana na multi choice, kampuni hii imepata umaarufu na watu wengi ulimwenguni hutegemea burudani inayotokana na channels za multi choice. Wakenya wengi wako na decoder za dstv na Wana kila sababu ya kufurahia burudani wanayoipata.

Maisha magic plus walianza kupeperusha tamthilia mpya Kama vile “Kovu, “Kina na pia ” date with my family”

Hizi hapa vipindi vipya ndani maisha magic plus

Kovu maisha magic plus

Kovu maisha magic plus

Ni tamthilia ilioficha Siri kubwa zinazowakosanisha familia baada ya kuhamia Kenya kutoka Tanzania walimokuwa wanaishi mwanzo. Familia ya Jaffar haikufurahia kuhamia Kenya sanasana mke wake Alisa anayeonekana kuficha Siri flani itakayo angusha familia yao.

Alisa anaonekana kumchukia mtoto wake wa kike Rina kwani ndiye chanzo Cha Siri anazozificha. Rina naye ana uhusiano mzuri na babake. Ukaribu huu anachangia mamake Rina kumchukia zaidi

Kina maisha magic plus

Kina maisha magic plus

Ni sinema inayomhushisha sanaipei tande mzaliwa wa hapa nchini Kenya. Hii ni Kama hadithi ya David na Goliath. Sinema hii inaongelea kuhusu mwanamke fukara anayepata bahati ya kuiongoza biashara kubwa na kuwa mmoja wa matajiri.

Wahusika wakuu ni mtoto wa kike na mamake na masaibu waliyopitia. Mama na mtoto wake wa kike hawaelewani kumbe huyo mtoto anakuja kufaidi ulimwengu mzima.

Date my family maisha magic plus

 

Date my family maisha magic plus

Ni show ya uchumba ama mambo na uhusiano wa kimapenzi. Familia tatu zinahusika. Wahusika wanapata maongezi pamoja na kuandaa chakula ili kujuana zaidi.

Tamthilia zingine zinazopeperushwa pale maisha magic plus ni pamoja na Selina,Pete, njoro wa una, our perfect wedding, maza, real housewives of kawangware, varshita! Na Churchill show.

kovu maisha magic actors

Soma hii pia (waigizaji wa Maria Citizen Tv)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *